POST MTEKINOLOJIA (MAABARA) DARAJA II – 1 POST
POST CATEGORY(S) HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL
EMPLOYER Halmashauri ya Mji Nanyamba
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-26 2021-03-12
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kupima sampuli zinazoletwa maabara
ii. Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za juu;
iii. Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara , vitendanishi, vifaa, kemikali na hifadhi ya kemikali;
iv. Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi;
v. Kufundisha watumishi walio chini yake;
vi. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
* Kuajiriwa wenye Stahahada katika fani ya Uteknolojia (Maabara) ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na baraza(Maabara).
REMUNERATION TGHS B
The deadline for submitting the application is 12 March 2021