POST AFISA UGAVI MSAIDIZI – 1 POST
POST CATEGORY(S) PROCUREMENT & LOGISTIC MANAGEMENT
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-26 2021-03-12
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kutunza na kupanga vifaa vilivyomo ghalani katika hali ya usafi na usalama;
ii. Kupokea vifaa vilivyonunuliwa kutoka kwa wazabuni;
iii. Kupokea vifaa ambavyo vimetumika lakini vinahitaji kutunzwa kabla ya kufutwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu zilizopo;
iv. Kufungua na kutunza “Bin Card” kwa kila kifaa kilichopo ghalani;
v. Kufungua leja (Ledger) ambayo itatunza kumbukumbu na vifaa vinavyoingia, kutunzwa na kutoka ghalani;
vi. Kutoa vifaa kwa wateja na watumiaji kwa kuzingatia taratibu zilizopo;
vii. Kufanya kazi zingine za zinazoendana na fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi,
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
* Kuajiriwa wenye Stashahada ya Ununuzi/Ugavi au Biashara iliyojiimarisha katika Ununuzi na Ugavi, kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali au sifa inayolingana na hizo inayotambuliwa na Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi nchini (Procurement and Supplies Professional Technician Board (PSPTB), Awe amesajiliwa na PSPTB kama “Procurement and Supplies Technician” au “Procurement and Supplies Full Technician” na awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
REMUNERATION TGS C
The deadline for submitting the application is 12 March 2021