POST AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III – 1 POST
POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-26 2021-03-12
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kushirikiana na Wakulima kuendesha Mashamba ya Majaribio na Mashamba
darasa;
ii. Kutembelea Wakulima/vikundi vya Wakulima katika Mashamba yao na kutoa
Ushauri wa kitaalamu juu ya mbinu bora na zakisasa za kilimo cha kibiashara;
iii. Kufundisha na kuwaeleza Wakulima juu ya matumizi bora ya mbolea, Madawa na zana za kilimo;
iv. Kukusanya na kutuza takwimu za hali ya kilimo katika Kijiji;
v. Kubuni na kuandaa vihenge vya kisasa vya hifadhi ya Mazao na kutoa Elimu ya Matumizi sahihi ya Mazao;
vi. Kutoa taarifa juu ya dalili za kuwepo visumbufu vya mimea na mazao;
vii. Kuandaa na kutumia daftari la kilimo katika kutekeleza majukumu yake ya kila
siku;
viii. Kushiriki katika mchakato wa kuibua fursa na vikwazo vya maendeleo (Opportunities and Obstacles for Development (O&OD) na kuandaa mpango wa maendeleo ya kilimo wa kijiji (Village Agricultural Development Plan (VADP) ; na
ix. Kuandaa taarifa ya utekelezaji ya kila mwezi na kuiwasilisha kwa Afisa Ugani wa Kata na nakala kuiwasilisha kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
* Kuajiriwa waliohitimu wa Kidato cha Nne (IV) wenye Astashahada ya kilimo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B
The deadline for submitting the application is 12 March 2021